Acha Ubishi, Mambo Huyawezi!
Mapenzi matamu ni ya kufundishana na kuelekezana, ya kuambiana ukweli kila inapobidi ingawa kuvumiliana kupo. Sasa wewe mzee mwenzangu usiyetaka kukubali ukweli utakuwa Bwege, Hakuna aliyezaliwa anajua, wote tunajifunza humu humu na mwisho wa siku tunakua wataalam na Ndoa zetu zinazidi kuimarika. Acha majivuno ya kizamani wakati mabo huyajui, kubali kukosolewa na kujifunza kila inapobidi, kwa tabia hiyo unaweza ibiwa mali yako huku unajiona.


Drop Your Comment Here


Related Posts


Previous
Next Post »