Hata Kama Umechoka/Unaumwa Usimjibu Hivyo!
Hapa naomba niwaguse baadhi ya wake zetu, ambao kutokana na sababu mbali mbali ziwe za pilikapilika za maisha au shughuli za nyumbani hujikuta wachovu au wagonjwa kabisa, hii ni hali ya kawaida ya kinadamu. Siku ikukukuta na Mumeo anaomba Haki yake au anakuomba chochote kile tafuta lugha nzurii na ya kunyenyekea ya kumwonesha ni jinsi gani Unatamani umfanyie lile alitakalo lakini Hali uliyonayo inakufanya ushindwe, Mume ni binadamu atakuelewe tu, Mfano " Baby Leo Naumwa Honey wangu, Natamani Nikupe Lakini Hatuta enjoy Pamoja kama Tulivyozoeshana, Nisamehe My Love, Kesho Ntafidia ya Leo My Hubby! Nna uhakika atakubusu na kukukumbatia, kuliko kumjibu tu kwa mkato "USINSHIKE MIE, NAUMWA" Haipendezi.


Drop Your Comment Here


Related Posts


Previous
Next Post »