Jitegeshe kwa ajili ya MumeoNiyaseme haya kama "SHOSTITO" wako vile. Unajua wanaume ni kama watoto wadogo haijalishi umeishi na mumeo miaka mingi kiasi gani! Leo ukimfanyia hivi wiki nzima atakaa anatamani uwe unamfanyia hivyo hvyo, sasa basi usikubali kubaki nyuma, kila kukicha uwe unabuni mbinu na staili mpya za kumfanyia mume na kujitegesha specially for him, ili mimacho yake isiwe inashangaa shangaa huko nje! Mapenzi ya siku hizi yanataka kuwekwa nakshi kila leo, usizubae asije akanyakuliwa nje. Mfano ushajua yupo njiani anarudi, we jiandae, oga kuwa msafii, piga manukato ya ukweli andaa chumba na kitanda theni vaa kuo za kutia ushawishi na hamasa ya mapenzi mfano gauni fupi lenye kuonesha umbile lako vizuri na ulicho vaa ndani mfano bikini, au lala kitandani kama picha hivyo ilivyo halafu uone akirudi kama hajapagawa mwenyewe!!


Drop Your Comment Here


Related Posts


Previous
Next Post »