Karibuni WapenziNapenda Kuchukua Fursa hii kuwakaribisha nyoote katika Blog yetu hii Mpya yenye maazimio ya kujenga na si kubomoa, kwa kutambua nafasi ya mapenzi na mahusiano katika jamii tunayouizunguka ndio kumepelekea kuanzisha blog hii. Walengwa hasa ni wanandoa ambao suala la la mapenzi ndo limekuwa changamoto katika maisha yao ya kila siku,  sasa basi hapa tutakuwa tunajadili na kufahamishana mambo mbali ambayo tuna imani yana tuhusu sisi kama wanandoa nami nikiwa msimamizi tu. Tahadhari watoto huu sio uwanja wenu.


Drop Your Comment Here


Related Posts


First