Kufanya Mapenzi Kunapunguza "Heart Attack"Habairi hii nimeipata katika mtandao mmoja, ya kwamba kuna Utafiti umebainisha kwamba kufanya mapenzi angalau mara tatu kwa wiki kunapunguza uwezekana wa kupata Heart Attack (Shambulio la Moyo) kwa 50% ukilinganishwa na yule ambaye anapitisha wiki nzima bila kupiga mambo yetu. Pia utafiti huo unasisitiza ya kwamba mwenye Kufanya Mapenzi kila siku anaondoa uwezekano wa kupata Heart Attack kwa Asilimia 100% Duh hii kaliii!!!! 
Mmeona sasa, kumbe si kwa ajili ya kulinda Ndoa zetu na kuzijenga nyumba zetu peke yake, duh... Raha zetu wenyewe na Magonjwa tunajikinga nayo! kweli hii starehe ya Maskini na Tajiri!


Drop Your Comment Here


Related Posts


Previous
Next Post »