Mapenzi Kinyume na MaumbileHabari za leo wapendwa wasomaji wangu! Hope tupo poa na tumesharudi katika harakati zetu za maisha na pilika pilika za hapa na pele! Naomba mnipe nafasi niongelee kuhusu hili suala la mapenzi ya kinyume na maumbile! Kwa kuwa lipo na linashika chati sana, hasa nchini kwetu Tanzania itabidi niseme! Jana Usiku usingizi uluniisha, nikaamua kuzunguka ili nijionee "yanayofanyika usiku duniani" Nikawasha pikipiki yangu na kuanza safari. Nikafik amaeneo ya Sokota, kuna ukumbi maarufu sana wa Usiku.
                       Nikapaki kwa nje kabla sijashuka, akanijia mrembo ambaye sikutarajia kwa hali alionayo angeweza kuwa pale. Akaniambia "Sema Mchumba, Kuto*****, Kufi***** au Konyonywa Mb**! Hivi hivi na wazi wazi! Nikaduwaa kidogo na nikamwambia hapana kuna mtu namsubiri, mimi dereva wa boda boda namsubiri abiria! Hii ikanipa tathmini ya haraka kwamba siku hizi "Kuruka ukuta" Unalazimishwa kabla ya kuomba! kiukweli tumefikia pabaya!
                          Hii ni kwa upande wa nje, sijui ndani kwenye mahusiano ya muda mrefu na ndoa zetu hali ipoje, ikiwa kila kona unapopita hamasa kubwa ni mapenzi ya kinyume! Kiukweli, kama unampenda mwenza wako msijaribu kufanya mapenzi haya, ni uchafu na pia ni kumdhalilisha unayemfanyia, japo baadhi ya watu wataniona kama nawakera kwa kauli hii, lakini ndo ukweli wenyewe, tufanye mapenzi kwa raha pale panapondeza na palipozinduliwa na wazee wetu Adam na Hawa, huko kwengine ni kumchokoza Mungu na Kujiongezea mabalaa!


Drop Your Comment Here


Related Posts


Previous
Next Post »