Mpenzi kwa Mpenziwe ni Mtiifu

Kuna Baadhi ya watu wanadhani kuonesha utii kwa Mpenzi wako ni kujishusha thamani na kumtamfanya akupande kichwani, HAPANA! Hiyo ni tabia ya mtu mmoja mmoja, yapaswa wote tuoneshane Mapenzi na Utii bila kuwa na hofu eti nikiwa mtiifu sana kwa Baby wangu ataniona nimefika kwake na hivyo atanipanda kichwani. Penzi Kikohozi bwana, Kama unampenda Mkeo au Mumeo kiasi cha kutokwa na machozi ya Furaha basi muoneshe na alitambue hilo kwani hata itakapotokea vishawishi kutoka kwa wezi wa nje atakuwa ana imani na huruma ya kufikiria yoote na hasa "UTII" wako kwake na atajiuliza "Kweli nimfanyie hivi?"


Drop Your Comment Here


Related Posts


Previous
Next Post »