Mume Usiwahi "Kumaliza"
Najua hapa ni kama namwambia Fisi anywe supu, ila nyama ale baadae wakati vyote vipo katika bakuli moja!! Itawezekana kweli? Kweli inawezekana kikubwa ni kuamua tu bwana, au vipi mzee mwenzangu!!
Jinsi ya kujichelewesha kumaliza(Kukojoa)
                     Ni ngumu siku za mwanzoni lakini itakuwa rahisi kama utajizoesha maana siku zote mwanzo mgumu, ila wenzakoya hivyo na tumeshazoea na wake zetu wanatupa big up! baada ya kukamisha taratibu zote za kumuandaa mkeo na tayari mmeshaanza kuingiliana, hakikisha unakuwa msimamizi wa mchezo kwa kuhakikisha "haukojoi" mpaka mkeo aanze au mkutane pamoja.

                 Hivyo basi ikiwa utakuwa unahisi unataka kukojoa, toka kidogo, endelee kumpapasa na kumcheze mkeo maeneo nyeti, tuliyosema mwanzo, huku ukimbusu hapa na pale, ukamchezea G Spot, Kiarage(Clitoris) na maeneo mengine. Mpaka ukihisi  "mzee" anataka kulala unamrudisha kunako utamu na zoezi linakuwa kama hilo, pia kwa kutumia utaratibu huo ikiwa umepanga au unataka kwenda raundi zaidi ya moja yakupasa ukiwa nje ya uke ndo "ukojoe" huku baadhi ya sehemu za uume zikiwa zinaingia na kutoka mathalan, kichwa!
Anza kujaribu leo halafu utanipa matokeo nyumbani mke kaipokeaje staili hiyo mpya!! Adios!!


Drop Your Comment Here


Related Posts


Previous
Next Post »