Nakupenda, iendane na Vitendo

Kwa Usiku wa leo niongelee kwa uchache kuhusu neno zito lililopoteza uzitoo wake, maana siku hizi hata chizi husema "Nakupenda" Ieleweke kuwa ndani ya ndoa, nakupenda bila matendo mazuri kwa umpendaye ni kuidhulumu nafsi yake na kuuongopea moyo wako. Tuwe wakweli na wenye mapenzi ya dhati yanayoendana na vitendo vizuri kama ishara ya hisia zetu kutoka moyoni. Chukua nafasi hii kumwambia Mpenzi wako "NAKUPENDA MPENZI, Nafurahia kila sekunde nnayokuwa nawe, Nilikupenda Tangu Nilipo Kuona, Nakupenda Sasa, Na Ntakupenda Daima, na ni kwako tu Mapenzi yangu yamefika" Na Daima Matendo yako kwako yatastaharabika na Sitokuvunjia Heshima.


Drop Your Comment Here


Related Posts


Previous
Next Post »