Penzi Kabla ya ChaiMmh... Najua wengi wetu tunapenda kama tungeweza basi asubuhi tunywe chai nzito yenye mahanjam hanjam ya kila aina, halafu ndo twende katika pilika pilika zetu za maisha, basi leo nikupe habari hii ya utamu wa upande wa pili, Mimi naita "Penzi chai" Unashangaa vipi hili linawezekana? Usishangae ni kamchezo fulani katamu ambacho katakufanya siku yako nzima iwe ya furaha na amani, kwa wale tulio ndani ya ndoa zetu, amka asubuhi na mapema kabla haujaanya shughuli yoyote, muombe mwenza wako akupe lile tunda la Hawa, kwa ufundi na ustadi wa hali ya juu,then muamke mkaandae maji ya kuoga na muoge, halafu mpate chai ya nguvu yenye virutubisho vyote. halafu rudi kulala kama masaa 2 hivi ukiamka utaamua kutoka au kubaki nyumbani. Penzi Chai linafanyika Weekend au Usiku wa Kuamkia Weekend kwani unakuwa na uhakika wa kupumzika baada ya Mchezo!


Drop Your Comment Here


Related Posts


Previous
Next Post »