Siri za Mapenzi kwa "wanawake"Haya maelezo hayamaanishi siri hizi wazijue wanawake, lakini ni siri zinazowahusisha wanawake wengi, kwa vile hapa tunaongea na wanaume wengi basi ni vyema nikazieleza ili wanaume wengi wafahamu siri zinazowahusu wanawake wao!!!
1. Wanapenda Kufanya Mapenzi ya kupishana
Tofauti na wanaume, ambao wakimaliza baada ya dakika chache huwa na hamu ya kutaka kuendelea tena hasa baada ya kuoga, wanawake wenyewe wakimaliza wanahitaji kupumzika muda mrefu kidogo, yaani angalau siku 2, kabla ya kuhitaji tena marudio ya mechi na hasa mechi yenyewe ikiwa nzito. So mume usitake kila siku upewe!

2. Wanapenda Umalize ndani ya muda, Usizidishe muda!
Mume, elewa mkeo anapenda Mapenzi na wala hapendi "Roboti la Mapenzi", kwa hiyo ukiwa katika Game usitake Kumkomoa, na pia Usiwe Mchovu Kitandani!

3. Wengine hawapendi kuchezewa na kidole!
Duh, hapa unawezaona unamgusa maeneo nyeti anautoa mkono, au kama atakuachia basi mkono utabanwa, au kabla haujafanya mbwembwe sana anakuambia tayari muingize mzee mzima ndani, yuo tayari kumpokea!
 
4. Wanawake wanapenda Mambo Mapya!
Jaribu kuwa mtundu na mbunifu kiasi chakumuonjesha mambo mapya kila leo! Wake zenu wanapenda hivyo japo ataogopa kukueleza kwa baadi yao lakini usifanye mambo vile vile kila siku, uwe unaleta mambo mapya kila leo!

5.Penzi Chai
Siku za Nyuma niliandika kuhusu penzi kabla ya kiu hochote asubuhi, elewa kuwa miongoni mwa wake zetu wanalipenda hili na usiku wake kama hatukucheza mechi zetu!

Kwa hayo machache natumaini waume mtayazingatia na kuyafanyia kazi ili mapenzi na ndoa zetu zizidi kuimarika!


Drop Your Comment Here


Related Posts


Previous
Next Post »