Tupeane Mihemuko kabla ya kuingia Uwanjani
Binadamu tumependelewa saana kuliko viumbe wengine na sisi tupo tofauti na wanyama wengine kwa kuwa sisi tuna akili, angawa kuna wakati binadamu pamoja na akili yake hufanya mambo hata mnyama hawezi kuthubutu kuyafanya. Hivyo basi kwa kutumia akili tuliyonayo hebu tupashane juu ya hili, "Umuhimu wa kupeana stimu kabla ya kuanza gemu" Mke au Mume yakupasa ulitambue hili ikiwa umekusudia kupata raha katika Starehe yetu ya ukubwani basi tusikubali kukurupuka tu na kuanza kuingilina, huu ni Unyama, tunaona hata Katika Mpira, Mchezaji haingii uwanjani mpaka akimbie kimbie kidogo na afanye mazoezi machache ya viungo, sembuse sisi ambao tumejifungia ndani kwa Raha zetu? Kibiolojia ni lazima hasa mume kumuandaa Mke kabla ya tendo ili asije sikia maumivu, kuchubuka au utakuja kuumia wewe mume kwani utakuwa unalazimisha kuingia sehemu ambayo wewe na penyewe hapaendani. Hivyo basi yapasa muandaane angalau dakika 20 mpaka 30, kisha ndo muingie uwanjani rasmi, hii itasaidia kufunguka kwa njia ya mkeo vizuri, maji ya kulainishia mitambo yawe yamefika sehemu inayo takiwa na pia wote mtaenjoy na kufika "Kilimanjaro" pamoja na kwa raha ya hali ya juu!


Drop Your Comment Here


Related Posts


Previous
Next Post »