Usitoe Siri za Chumbani kwa Rafikizo
Unaweza liona hili ni jambo dogo lakini madhara yake huwa ni ya kukurudia mwenyewe. Iwe mke au mume, usikae katika kibaraza au mahali na shoga zako au rafiki zako na ukaanza kumsifia mwenza wako ni mjuzi wa mahaba, ankufanya hivi, anakupinda vile, "ooh naniu yake ni kubwa sana, inabana au ipo vile" Kusema hivyo au yenye kufanana na hayo huamsha mambo mawili, kuna walafi watataka kuhakikisha kwelii, hizo sifa unamzomsia mwenza wako anazo? Wa kujitegesha watajitegesha na wa kumtongoza watamtongoza, halafu baadae utaanza kumtafuta mchawi nani.


Drop Your Comment Here


Related Posts


Previous
Next Post »