Vipi Utafika kileleni Mwanamke? pt 2

Utashanga kwanini niweka pt 2, nimefanya hivyo ili kupa mpenzi msomaji nafasi ya kuchuja na kuyafanyia kazi yale nilojaribu kukufahamisha katika part 1. Huku nataka nigusie kwa uchache yanayojiri mara baada ya mkono kufika ikulu.
                    Sasa hapa mume unatakiwa uwe makini, mpole na usitumie jazba au uharaka wa kutaka kuingiza kidole kunako "nanhino" maana utaweza muumiza, mshtua au kumchobua kabisa.Kabla ya kuingiza kidole unaanza kwa kugusa kwa upole na kuchezea chezea "Kinembe" (mtaniwia radhi kiswahili kigumu) wengine huuita "kiharage" kizungu ni clitoris. Muundo wa kiungo hiki hautaki kusuguliwa kwa kutumia nguvu, hivyo chonde chonde usije pandwa na mdadi na ukaanza kumsugua mkeo kama unasugua goti linalowasha.   Kama inawezekana ingiza kidole katika uke kidogo ili uchukue maji maji laini yanayopatikana humu na kidole hicho ndo ukitumie kuchezea chezea sehemu hiyo.
                Unaweza kupachezea hadi utakapoona uke umevimba/ au mkeo kabalika rangi(kwa weupe kuwa mwekundu) au mwingine hata sauti hubalika na milio ya ajabu huanza kusikika, wakati haya yakiendekea mdomo wako unatakiwa uwe unachezea chuchu, kumbusu yeye mwenye, shingoni na kumnon'goneza maneno matamu katika masikio yake. baada ya kufanya hivi kwa takribani dakika tano hivi unaweza kuingiza kidole au vidole ndani ya uke, na kuanza kumchezea ndani na nje(USISAHAU KUSOMA JINSI YA KUCHEZESHA KIDOLE NDANI YA UKE). Kwa dakika mbili au 3 sasa unaweza anza kumuingilia mkeo, huku ukiwa muangalifu kwa kutowahi kufika kileleni (KUKOJOA).kabla ya mkeo na ikibidi mfike pamoja. Soma zaidi kuhusu G-Spot. 


Drop Your Comment Here


Related Posts


Previous
Next Post »