Zijue Sehemu za "Mihemuko" za Mwenza wako
Katika mfululizo wetu wa kusasambua leo naongelea kuhusu sehemu za "Mihemuko" au za kupandisha "Geji" kama wasemavyo vijana wa mjini, Mume na Mke wote mnapaswa kujua ni sehemu zipi katika mwili wa mwenza wako ukizishika au kuziminya au kuzilamba inapobidi huleta msisimko kwake na raha kwako kwa upande mwingine ili nyote mfurahie mapenzi yenu.Haipendezi ukaishi na mkeo au mumeo kwa miaka na ukawa hauzitambui sehemu hizi, mbaya zaidi eti ukawa unamwonea aibu kumshika sehemu fulani au wewe ukiguswa sehemu unautoa mkono wa mwenzio, mh... tutafika kweli kwa staili hiyo, inabidi wote muwe huru kusomana, kushikana na kuchezeana sehemu zote za miili yenu, muhimu msicheze michezo michafu ya kinyume! Nakuachia wewe mpenzi mfuatiliaji wangu kuzitafuta sehemu hizo kwa mumeo au mkeo, mimi baada ya article hii ntawaandikia sehemu za ujumla kwa mume au mke na jinsi ya kuzisisimua, maana watu huwa wanachanganya mambo, sehemu ya kugusa huifinya, sehemu ya kulamba huing'ata na kuharibu zoezi zima!


Drop Your Comment Here


Related Posts


Previous
Next Post »