About Us

Hii ni Blog ya kipekee ambayo nia na makusidio ya kuwepo si kuwahamasisha watu wawe wapenda ngono au wafanyaji sana wa mapenzi, hapana, tupo kwa ajili ya kujenga jamiii ilyo bora na iliyokomaa kifikra kwa kuwekana wazi na kuambiana ukweli kuhusu masuala mazima mazima ya Mapenzi na Mahusiano na hasi ukizingatia kipindi hiki tulichonacho.