Upcoming
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Your Link Here
 • Enter Title 1 Here

  http://2.bp.blogspot.com/_4HKUHirY_2U/SxIRTF4hqFI/AAAAAAAAAZ0/a0rDe2UC838/slideshow+1+big.jpg

  Enter Description 1 Here.

  Bionic
 • Enter Title 2 Here

  http://3.bp.blogspot.com/_4HKUHirY_2U/SxIRePsmefI/AAAAAAAAAaE/1bEo7Jhje7Y/slideshow+2+big.jpg

  Enter Description 2 Here.

  MOH
 • Enter Title 3 Here

  http://1.bp.blogspot.com/_4HKUHirY_2U/SxIRlhta4NI/AAAAAAAAAaU/91As7SkDIZE/slideshow+3+big.jpg

  Enter Description 3 Here.

  Fear
 • Enter Title 4 Here

  http://2.bp.blogspot.com/_4HKUHirY_2U/SxIRudm44wI/AAAAAAAAAak/xPjT8DtBq9s/slideshow+4+big.jpg

  Enter Description 4 Here.

  Farcry
 • Enter Title 5 Here

  http://1.bp.blogspot.com/_4HKUHirY_2U/SxIR4NEkreI/AAAAAAAAAa0/B0ab0ypP_z4/slideshow+5+big.jpg

  Enter Description 5 Here.

  Farcry 2
 • Enter Title 6 Here

  http://1.bp.blogspot.com/_4HKUHirY_2U/SxISBN5s6XI/AAAAAAAAAbE/jYBV3sn5y8o/slideshow+6+big.jpg

  Enter Description 6 Here.

  Crysis
 • Enter Title 7 Here

  http://1.bp.blogspot.com/_4HKUHirY_2U/SxISHlkmzLI/AAAAAAAAAbU/gbpIfiAelH0/slideshow+7+big.jpeg

  Enter Description 7 Here.

  Tomb Raider
 • Enter Title 8 Here

  http://3.bp.blogspot.com/_4HKUHirY_2U/SxISPRJ9FyI/AAAAAAAAAbk/col8cO-Gtc8/slideshow+8+big.jpg

  Enter Description 8 Here.

  Game
 • Enter Title 9 Here

  http://1.bp.blogspot.com/_4HKUHirY_2U/SxISVrBaCgI/AAAAAAAAAb0/7TyVFfKbqyc/slideshow+9+big.jpg

  Enter Description 9 Here.

  Medal of honorUtata Kuhusu Supu ya Pweza Na Nguvu za Kiume

 Kwa Wale ambao tunapata bahati ya maskio yetu kupata udaku wa hapa na pale bila shaka tumeshawahi kulisikia hili, " Ukipiga Sipu ya Pweza Kabla ya Mechi" Basi Uwanjani Patachimbika. Leo tutajaribu kudadavua kwa upande wetu hili limekaa vipi?

                  Kwanza kabala sijaenda mbali zaidi napenda niseme kwamba hii ni dhana ya kisaikolojia, ambayo hukupa fikra ya kimchezo zaidi unapokuwa na mkeo, pia hukupa ujasiri na ushujaa wa kuutawala Mchezo, ni nzuri kiupande mmoja, lakini haina 100% ukweli. Performance yako inatokana na kujiandaa na kuwa kimchezo zaidi.
                  Kama nilipoeleza hapo awali kuhusu vyakula kwa ajili ya afya ya mapenzi, nilizungumzia "nyama" (Red meat) ikichomwa huongeza mafuta na protein ambayo uhitajika zaidi kipindi cha mchezo. Pweza kama pweza, huangukia upande huu pia, huleta mafuta na protein, kinachochangia zaidi ni ile imani uliyo kichwani kwako, hii hufanana na mwanaume aliekunywa vidonge vya kuongezea nguvu za kiume, mathali "Enjoy" au Erecta 2.5, Huwa na uhakika wa kufanya vizuri mchezoni kama mwanafunzi aliyeingia katika chumba cha mtihani akiwa na "Chabo/Nyenzo/Kibomu" obvious atakuwa na asilimia kubwa ya ushindi.
                      Kwa mfululizo huu hata karanga mbichi na maziwa huwa na athari za kufanana na vitu tulivyoviongelea hapo juu.
| 1 comment:

Si kila wakati simba akikosa nyama hula majani.

Mhh, kitambo kidogo nimewapa mgongo wapenzi wasomaji wangu, hii inatokana na kubanwa na majukumu mengine ya ujenzi wa taifa hata hivyo kwa kuwa hii ni Hobby na napenda hiki nnachokifanya najaribu kutafuta upenyo kila ntapokuwa naweza japo niwasilimie.

Haya sasa, turudi katika kijiwe au jamvi letu na kuanza kupashana ya hapa na pale, leo niwashtue wenzangu na mie ambao "eti" kwa kisingizio cha kukosa au kutompata mwenza wa uhakika huishia kuranda randa na kuchovya kila bakuli lilokuwa mbele yake. Najua tupo na wengi wetu tumepitia katika nyakati hizo mpaka sas tuna mshukuru mungu tumesalimika, sasa kwa wale wenzangu na mie ambao bado, hebu tujaribu kutulia na kumuomba mungu atujaalie tupate wenza wa kudumu katika maisha haya na kuacha kuranda randa maana mwisho wa siku tutakuja kujutia, na mbaya zaidi majuto hayo yakikuta kipindi ambacho unahisi umetulia na una kila sababu ya mafanikio.

Please, let us be More than Careful with our Lives!!!!  ADIOS!!!

| No comments:

Ngono inasababisha saratani ya kizazi    UTAFITI mpya wa kitabibu umebaini kuwa saratani ya shingo ya kizazi, inasababishwa pamoja na mambo mengine na ngono kama ilivyo kwa ugonjwa wa Ukimwi, madaktari bingwa wa magonjwa ya maradhi hayo wamesema.
                             Hayo yalielezwa na daktari bingwa wa uchunguzi wa magonjwa katika Kitengo cha Patholojia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dk Henry Mwakyoma na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dk Crispin Kahesa.
Madaktari hao wametaja mambo mengine yanayoweza kusababisha saratani ya shingo ya kizazi kuwa ni kujiingiza kwenye mapenzi katika umri mdogo, kuolewa mara nyingi, kuwa na wapenzi wengi, kusafisha sehemu za siri kwa bidhaa zenye kemikali na kuzaa mara nyingi.
Katika kiwango cha kimataifa, wastani wa mwanamke kuzaa bila kuwa katika hatari ya kupata ugonjwa wa saratani, ni watoto wanne.
                            Dk Mwakyoma alisema saratani ya shingo ya kizazi inatokana na aina 40 ya virusi, aina mbili ikiwa ni virusi vinavyosambaa kwa njia ya ngono... “Human papilloma virus (HPV) Squamos cell carcinoma kirusi namba 16 na Adenocarcinoma namba 18, ni kati ya virusi 40 vinavyosababisha saratani ya kizazi na vyenyewe vinachangia tatizo hilo kwa asilimia 70.”
Alisema saratani ya uzazi ndiyo inayoongoza ikilinganishwa na nyingine nchini na asilimia 80 ya wagonjwa, wameambukizwa kwa ngono.
                                   “Saratani hiyo husambaa kwa ngono kutoka mwanamke mmoja kwenda kwa mwingine. Mwanamke mwenye saratani ya kizazi akifanya ngono, mwanamume huchukua virusi na kumwambukiza mwingine atakayefanya naye ngono,” alisema na kuongeza:
“Wagonjwa wengi na wale ambao tayari wana maambukizi, wamekuwa wakikutwa na virusi hawa wa aina mbili ambao wamekuwa wakienezwa zaidi kwa njia ya zinaa. Inawezekana mwanamume akawa ametoa kirusi kwa mwanamke mmoja kwenda kwa mwingine.”
“Hata hivyo, kuna wanaume ambao tayari wameshakuwa na maambukizi ya HPV wanatembea na virusi, hawa tunawaita (high risk sexual male patner) wanaume hawa utakuta kila akioa mke anakufa kwa saratani ya shingo ya uzazi, lakini kamwe virusi hao hawawezi kumwathiri yeye.”
                                 Alisema kuanza ngono mapema nako kunachangia kwa kiasi kikubwa maambukizi ya saratani hiyo, kwani binti anakuwa katika hatari zaidi ya kupata maambukizi mapema na hivyo kuweza kumwathiri mapema zaidi, tofauti na yule aliyeanza baadaye.
“Idadi kubwa ya wanawake wamekutwa na saratani mapema sana, ukilinganisha na umri wao, lakini wengi wao wamekuwa wakikutwa na ugonjwa huu kuanzia umri wa miaka 35 kwenda juu. Hii inamaanisha kuwa walipata maambukizi hayo walipokuwa na miaka 20-25.”
Dk Mwakyoma alisema licha ya hivyo mgonjwa anaweza asitambue tatizo hilo mpaka miaka 10 hadi 15 baadaye ambapo tatizo linajitokeza hadharani.

Chanzo: Mwananchi.
| No comments:

Yapi ni Mapenzi na yapi ni mazoea?!

Leo nataka tujadili na kuulizana kuhusu suala hili, maana nimekuwa niiskia watu wengi wanaliongelea kwa mitazamo tofauti, kwenu nyie mliokuwa katika ndoa na mahusiano ya muda mrefu, mnaonaje dhana hii ya mapenzi ya dhati na mazoea.

MTAZAMO WANGU.
Binafsi, napenda niseme haya:-  Miongoni mwa mapenzi ya dhati na matamu hujengwa na mazoea baina ya wapendanao, Mke na Mume wanapozoeana na Kufahamiana, kunakuwa na Uhuru baina ya Wapendanao hawa, Uhuru huu ukitumiwa vizuri kwa kuzingatia Heshima na Mipaka, wanandoa hawa wanakuwa kama ndugu, kitu kimoja au mwili mmoja.
Na ndio maana ikitokea wanandoa wamepata bahati ya kuona bila kufahamiana au kujuana mwanzoni kunakuwa na maisha ya ukimya na uoga hasa kwa mwanamke, lakini kadri anavyozidi kuishi na mumewe, humzoea na kumpenda zaidi.
Pia kimaumbile, mapenzi ya mwanamke huja na kuongezeka baada ya kumzoea na kuishi muda mrefu na Mumewe au Mpenziwe.

Kwa kupitia hoja hizo, natetea wale wenzangu na mimi tunaosema kwamba mapenzi ya dhati yanajengeka na mazoea, lakini mazoea hayo yawe yanazingatia heshima na uhuru wenye mipaka.


Je wewe Mpenzi Msomaji, unaonaje...??? Nakaribisha Maoni......
| 1 comment:

Tusifanye Mapenzi kwa Kukariri

Habari za leo wapenzi wasomaji wangu, ni matumaini yangu mpo wazima na wenye afya tele. Leo nataka niongee na wanandoa, yes wewe mume haswaa! Hebu fanya tathmini ya ufanyaji wako wa tendo la ndoa na mkeo, unaonaje, ni wa kukariri na kujirudia rudia au ni ni wa kubadilika kila siku! Kaa ukielewa kuwa wanawake wanapenda mwanaume ambaye" Hatabiriki" 
Mzee mwenzangu usiwe ume kariri jinsi ya kucheza mechi yako kiasi kwamba wife anajua kwamba, ukishakaa mkao huu kinachofuata ni hivi kisha vile then mchezo unaisha!! Jaribu kuwa mbunifu na kubadilika badilika, ikibidi siku moja " Unapiga Sarakasi" kimtindo kitandani kunegesha ladha ya Mchezo!!!


ADIOS!!!
| No comments:

"Tutakumbushia na Wangapi"?

Habari za leo wapenzi wasomaji wangu? kwa uchache leo tujiulize, kila mtu amewahi kuwa na mahusiano hapo awali. Kuna wakina sisi mpaka leo tupo katika mahusiano ya muda mrefu tumeshapitia mahusiano na watu zaidi ya kumi tofauti tofauti. Imetokea umekutana na miongoni mwa wapenzi wako wa zamani, ambao bado mnaongea ua hamkuachana kwa ugomvi, naye akakuomba eti " Mkakumbushie" Inakuaje hapo?

Binafsi niseme kwamba maji yakisha mwagika hayozoleki, zaidi ya kuyafuta tu na kuanza upya, hivyo basi kwa zama hizi tulizonazo mambo ya "kukumbushia" jamani hayapo, tusije peana maradhi ya ajabu kwani huwezi jua mlipotengena ni njia zipi kila mmoja alipitia, pia haitaleta picha nzuri kwa mwenza wako wa sasa.
Sijui wale ambao tumepitia mahusiano ya zaidi ya watu 20, kama kukumbushia tutakumbushia na wangapi??!!

ADIOS!!!!!
| No comments:

Lini "Tufanye Mapenzi"?!!

Habari za week end wapenzi wasomaji wangu! Ni matumaini yangu mpo salama na mnaenendelea vyema. Leo nataka kugusia kuhusu kufanya mapenzi, kwa vijana. Maamuzi yangu yanatokana na zama tulizonazo ambazo kiukweli maadili yameporomoka, na kila mtu analifanya lile alitakalo bila kujali Umri, nafasi, Mazingira au Jamii inayomzunguka.
        
    Kwa ambao wapo katika ndoa tayari najua hili si tatizo kwao, wamesalimika! Hapa nawalenga zaidi vijana, tena wale ambao hata miaka 20 hawajafika, vijana ambao kiukweli vichwa vyao vimekuwa vya moto mno, asilimia kubwa wanafikiria kuhusu "Ngono", Starehe na "Maisha ya gharama".
                   Katika Zama tulizonazo suala la Ngono na Mapenzi limekuwa la Uwazi Mno. Ki mtazamo wa kimaadili na imani, hatutakiwi kushiriki Mapenzi na Kujamiiana Mpaka tutapokuwa katika Ndoa, nami naliafiki na kulisimamia hili daima.
  Lakini katika jamii inayotuzunguka Ngono na Mapenzi si tatizo, muhimu ukumbuke kutumia "Condom" na uhakikishe au shiriki na mwanafunzi la sivyo utafungwa.
Ukirudi katika mitandao na sehemu nyingine pia Ngono na Mapenzi ni wewe tu na hela yako! Kama hela ipo basi utapata Ngono kwa kadri unavyojisikia.
             
 Hapa ndipo tulipofikia leo.Kwa Kijana, Mimi nakusihi ujiulize yafuatayo kabla haujaamua kuanza kushiriki Ngono na Mapenzi:-
i) Nimelazimishwa au napenda toka moyoni
ii) Madhara yanayoweza tokana na kitendo nachotarajia kukifanya nayafahamu?
iii) Mwili, Viungo na Akili yangu ipo tayari kwa hayo?
iv) Wazazi, Jamaa na Imani yangu inasemaje kuhusu hili? 
 Kama utaridhishwa na majibu binafsi toka kwako mwenyewe nna uhakika utatoa maamuzi ya busara kuhusu lile ulilokusudia kulifanya na hata kama litatokea lolote utajua ni nani wa kumlaumu.


Kama nilivyosema awali, si malengo ya Blog hii watu wawe mafanyaji ngono sana au wazinzi wakutupwa, dhamira ya Blog hii ni kuwapa Habari, Elimu na Changamoto zinazotukabili wanajamii tuliokuwa katika mahusiano na ndoa kwa ujumla .Hatutegemei kuwaona watoto wakikazana kuitembelea Blog hii, lakini kwa mazingira ya ukweli na uwazi tuliyonayo hatuwezi kuwazuia, ila tutawapa tahadhari kwa baadhi ya " Maelezo ya Humu" ambayo hayajawalenga wao, na kuwakumbusha kuhusu umuhimu wa wao kujiweka mbali na masuala ya ngono na Mapenzi mpaka watakapofikia umri unaoruhusu na kama Imani zetu Zinavyotuambia.
| No comments:

Mpenzi wa Kwanza

Labels:
         Kila Mtu Maishani kwake anaye mpenzi wake wa kwanza. Kuna walio na bahati ya kuwa na wapenzi wao wa mwanzo mpaka leo na wengine wapo katika ndoa zao. Mungu awape kila la kheri. Ila tupo wa kina sisi, tulishapendaga saana zamani, kwa bahati mbaya hatukurudishiwa upendo wa kiwango sawa na hao tuliowapenda kwa moyo woote, na leo tupo katika mahusiano mengine. Kuna uwezekano miongoni mwetu tumeshawasahau hao tulio wapenda kwani Mungu ameshatupa mahusiano mengine ambayo ni bora na matamu zaidi kiasi kwamba hatuna hata hamu ya kuyafikiria ya nyuma. Ila pia tupo katika sisi, japokuwa tupo katika mahusiano mengine, lakini kila siku tunawakumbuka wenza wetu wa awali, tunajutia katika nafsi zetu kwanini hatupo nao, na kama tutapewa nafasi ya kuomba kitu kwa Mungu na kukubaliwa basi leo hii tungeomba kuwa pamoja na wenza wetu, Wapenzi wetu wa Mara ya Kwanza. 

         Haimaanishi Mpenzi wa kwanza awe ni yule aliyemtua Bikira Mwanamke au aliyekuwa wa kwanza kufanya mapenzi na mwanamke, hapana, hapa namzungumzia Mpenzi yule ambaye aliuteka moyo wako wote, roho, akili na nafsi, yeye ndo akawa kila kitu kwako, bora usile yeye ale, yule aliyekufanya Chozi likakutoka kwa ajili yake, yule ambaye ukianza kuelezea ni jinsi gani una hisia kwake basi utamaliza vitabu na wino na bado ukawa na la kuzndika........

Kuna Kisa kimetokea maeneo fulani ambapo wamefumaniwa watu wazima wakifanya mapenzi katika nyumba ambayo haijakamilika ujenzi wake. Walipokamatwa na raia wema katika utetezi wao nimepata jambo la kutahadharisha. Jamaa alisema kwamba "Huyu mwanamke mimi ndio mwanaume wake wa kwanza, nnampenda ingawa kwa sasa ameolewa, ni muda mrefu hatujaonana, leo kama bahati nimekutana nae maeneo haya halafu sina hela ya kwenda "Guest" ndo maana tumeona tuje hapa tujienzi"

Hapa nikajiuliza, ingekuwa mimi au wewe ungefanyaje, mwenza wako kateleza au wewe mwenyewe ndo umeteleza hivyo? Ukweli ni kwamba Kama kweli tuliwapenda Wapenzi wetu wa Kwanza, inakuwa vigumu kuwagomea au kuwakatalia wanapokuwa na ushawishi juu yetu, hasa pale inapotokea tumepoteana kwa muda mrefu. Kwa vile tayari tupo katika mahusiano mengine, yatupasa tuwaheshimu wenza wetu tuliokuwa nao sasa kwani wameamua kuwaacha wote na kuwa na sisi, Tuwaheshimu, Tuwaonee Huruma na Tujiheshimu wenyewe. Pia tujitahidi kuwa mbali nao kadri na zaidi ya Uwezo Wetu.
| No comments:

Lugha za Mwili katika Mapenzi

Pengine hii inawahusu walio katika ndoa na ambao bado!Ni zipi hasa lugha za mwili katika mapenzi?! Hapa nnazungumizia ishara, milio au sauti fulani ambazo ukisikia au kuona kutoka kwa mwenza wako inakupasa uchukua hatua stahili kulingana na mzingira husika. Kwa wale ambao tupo katika ndoa naimani unanafasi nzuri ya kumsoma mwenza wako na kuweza kugundua anahitaji au anamaanisha nini akiwa hivyo.
Kuna baadhi ya wanawake huwa hawawezi kuwaambia waume zao kwamba wanawahitaji kimapenzi, badala yake huweza kujitegesha au kujirahisi mbele zao, kwani wanajua kuwafanyia hivyo kutaamsha hamu kwa waume zao na hatimaye kuipata starehe hiyo pamoja. Mume yakupasa uwe unausoma mchezo mapema kwani si wanawake wote wataweza sema au kujitegesha na ndio maana tunasisitiza isipite wiki bila kupeana na mwenza wako.
Pia wanawake nawashauri wawe "wachokozi" kidogo maana kuna wanaume huwa hawaanzi mashambulizi mpaka washambuliwe, kama hali ipo hivyo basi mwanamke inabidi ndo ume mpangaji mashambulizi ya awali.

Mwisho niwaambie Mke na Mume, kama inavyowapasa kujua sehemu za mihemuko baina yenu, inawapasa pia muelewe lugha za miili yenu. Miili inaongea bwanaa!!!
| No comments:

Kufanya Mapenzi Kipindi Cha Ujauzito

 Habari za jioni wapenzi wasomaji wangu! Katika mfululizo wa kusasambua leo naomba niongelee kuhusu kufanya mapenzi kipindi cha ujauzito! Nimefikia hatua mara baada ya mabishano na mijadala kadhaa ya watu wazima kuhusu mapenzi, staili na madhara kipindi cha ujauzito! kwa leo mimi ntasema machache nnaimani mengi yanajulikana tayari.
                  Kabla yote ieleweke kwamba wapo baadhi ya wanawake ambao inapofika kipindi cha Ujauzito huwa hawapendi hata kuguswa bega na waume zao, kama hali ikiwa hivi, mume usimmaind sana, elewa ni mapito tu na "atarudi kundini soon" Pia wapo baadhi ya wanawake ambao wanapokuwa na ujauzito basi hamu ya kufanya mapenzi huongezeka maradufu na inawezekana wakataka "Uroda" Kila siku, hapo pia mzee mwezangu jua ni mapito, yataisha tuu! Kikubwa ni kuelewa Mkeo yupo katika hali gani na kujitahidi kadri ya uwezo wako kwenda nayo sawa.
              Mbali na hayo napenda niseme kuwa "INAWEZAEKANA" kabisa Mume na Mke Kufanya mapenzi kipindi cha Ujauzito wa Mke mpaka siku anayojifungua, bila kuhofia eti utamjeruhi mtoto maana kabla haujafikia alipo mtoto kuna Matabaka ambayo yanamkinga mtoto na uvamizi wa nje hasa wa "Dudu" ya Baba!
Kuhusu Staili nakuomba mume usiwe unampinda sana Mkeo maana utakuwa unamuumiza tumbo, piga zile za kale tu! Pia Kama Mke unawasiwasi na Hali yako ni vizuri ukamwona Daktari wako wa Kliniki kwa maelezo au vipimo vya ziada!

 ADIOS!!!

| No comments:

Mke Zungumza na Mumeo

Labels:
Kweli wanawake mnatakiwa kuwaheshimu na kuwatii waume zenu, na miongoni mwenu mnakuwa na utii wa kupitiliza ambao huambatana na aibu. Aibu hii hasa huja mnapotaka kuongea au kujihusisha na masuala ya mapenzi! Aibu na utii huu ambao sidhani hata kama Mungu anauridhia hupelekea "kuvumilia" adha ambazo kiukweli hazikutakiwa kuendelea kuwepo kama mke angakaa na mumewe na kumueleza.
Miongoni mwa matatizo wanayokumbana nayo wanawake ni pale mume anapokuwa hana subira na kuwa na papara katika kufanya mapenzi, hii humfanya mke kutofurahia "Raha ya Tunda" na mbaya zaidi kuumia kabisa, kuna baadhi ya wanawake wanahisi kumwambia mumewe vipi amuingilie au wafanyaje ili wote wafaidi raha ya penzi ni kitendo cha uhuni! hapani si kweli.

Waondoe uwoga huo na kujaribu kukaa faragha na waume zao na watoe maduku duku ya moyoni kwani huenda mumeo akawa anafanya jambo la kukuudhi au kukuumiza  bila kukusudia au hajui linafanyika vipi.Hivyo ipo haja ya Mke Kufunguka na kusema na Mumeo!!
| No comments:

Zawadi kwa "Mpenzi"

Labels:
Ni jambo ambalo watu wengi hasa wanandoa hawalipi kipaumbele chake. Lakini tuelewe ni jambo kubwa hata kama mke/mume ana kazi na uwezo kiasi wa kuweza kununua "zawadi" hiyo uliyomletea! Leo utakuta baadhi ya wake wa mabosi zetu wanaingia katika mitego ya vijana baada ya kijana kumsifia ana umbo zuri kisha akamnunulia ka bikini kadesign ya ajabu kisha mke huyo huyo akaivaa na akasifiwa sana na mumewe ambaye kwa upumbavu wake watu watammegea mkewe!
                     Lakini nisikulaumu sana mzee mwenzngu, we angalia ni vitu gani vipo katika Fashion, angalau kila weekend ukiwa haupo busy sana na kazi chomoka mara moja ingia madukani umnunulie Mamsapu vitu vya ukweli na hasa vinavyomuhusu yeye moja kwa moja.
                       Hii inakuhusu wewe pia mama fulani, usikubali mumeo akanunua Underwear, sox au Vest, na vya kufanana na hivyo hata kama anuwezo kiasi gani, kama uchumi sio mzuri bana hata katika hela ya chakula na umnunulie mwenza wako zawadi bwana! Vitu kama Viatu, Sox, Saa, Hereni, Cheni, Vidani, Chupi, Perfume, lotion au mafuta na sabuni, ni miongoni mwa vitu vidogo vidogo lakini vitakuwa na uzito mkubwa vikitoka kwa mwenza, pia ni silaha ya kuumiza vikiletwa na hawara au mnyemeleaji!
| No comments:

Siri za Mapenzi kwa "wanawake"

Labels:
Haya maelezo hayamaanishi siri hizi wazijue wanawake, lakini ni siri zinazowahusisha wanawake wengi, kwa vile hapa tunaongea na wanaume wengi basi ni vyema nikazieleza ili wanaume wengi wafahamu siri zinazowahusu wanawake wao!!!
1. Wanapenda Kufanya Mapenzi ya kupishana
Tofauti na wanaume, ambao wakimaliza baada ya dakika chache huwa na hamu ya kutaka kuendelea tena hasa baada ya kuoga, wanawake wenyewe wakimaliza wanahitaji kupumzika muda mrefu kidogo, yaani angalau siku 2, kabla ya kuhitaji tena marudio ya mechi na hasa mechi yenyewe ikiwa nzito. So mume usitake kila siku upewe!

2. Wanapenda Umalize ndani ya muda, Usizidishe muda!
Mume, elewa mkeo anapenda Mapenzi na wala hapendi "Roboti la Mapenzi", kwa hiyo ukiwa katika Game usitake Kumkomoa, na pia Usiwe Mchovu Kitandani!

3. Wengine hawapendi kuchezewa na kidole!
Duh, hapa unawezaona unamgusa maeneo nyeti anautoa mkono, au kama atakuachia basi mkono utabanwa, au kabla haujafanya mbwembwe sana anakuambia tayari muingize mzee mzima ndani, yuo tayari kumpokea!
 
4. Wanawake wanapenda Mambo Mapya!
Jaribu kuwa mtundu na mbunifu kiasi chakumuonjesha mambo mapya kila leo! Wake zenu wanapenda hivyo japo ataogopa kukueleza kwa baadi yao lakini usifanye mambo vile vile kila siku, uwe unaleta mambo mapya kila leo!

5.Penzi Chai
Siku za Nyuma niliandika kuhusu penzi kabla ya kiu hochote asubuhi, elewa kuwa miongoni mwa wake zetu wanalipenda hili na usiku wake kama hatukucheza mechi zetu!

Kwa hayo machache natumaini waume mtayazingatia na kuyafanyia kazi ili mapenzi na ndoa zetu zizidi kuimarika!
| No comments:

Tutoke na Wenza Wetu!!


              Habari za ukimya wa siku mbili wapenzi wasomaji wangu? Ni matumaini yangu wote ni wazima na mnaendelea vizuri na maandalizi ya shughuli za mwisho wa mwaka!!! Loh, nilisafiri na kwenda maeneo ya ndani huku, hata network haipo vizuri. Nlichokiona ni tabia ya baadhi ya wanaume wa huko kupenda kutoka na wanawake, lakini sio wake zao, wanaume hawa hupoteza gharama nyingi kwa kuligharamia penzi la siku moja ile hali wana wenza wao huko na hawapati matunda na huduma bora kama hizo!
                  Kuelekea msimu huu wa siku kuu na mwaka mwaka mpya natoa wito kwa wanaume na wanawake ambao wapo katika mapenzi na ndoa, wawe ni wenye kutoka na wenza wao na si vinginevyo! Mbali na kipindi hiki yafaa katika mwezi angalau kutoka na Mkeo/Mmeo, kwenda sehemu iwe ufukweni au sehemu iliyotulia, mkakae, na itapenza Mkakodi "Chumba" kabisa na mkalala huko huko ili mfaidi vizuri! Tusiwe wenye kutoka na Kuwacha wenza wetu majumbani!!!
| No comments:

"Maneno ya Kupandishana "Nyege"


Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "nyege" kabla ya kuanza kufanya mapenzi. Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi!
               --> Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano" Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my love" Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko alipo "Jogoo" awike kidogo! nayeye hawezi kubaki kimya lazima atajibu mashambulizi, nna uhakika itafikia point kila mtu, Udenda Utamtoka kwa nafasi yake.......! Na kila mmoja akawa na hamu ya mapenzi na mwenzie! Tuyatumie Maneno hayo kwa nafasi zetu! Yanahusika saaana!  ADIOS!!!!

| No comments:
Sponsors : Best Themes | New WP Themes | Best Blogger Themes
Copyright © 2013. Android Jelly Bean - All Rights Reserved
Template Design by Shihara | Published by New Blog Themes
Powered by Blogger
Blogger Widgets